SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, February 27, 2012

Kongamano la Wazee Kuhusu Kufutiwa kwa Mitihani Watoto Wao Zanzibar Lafanyika .

Muwezeshaji wa Kongamano la kujadili Wanafunzi waliofutiwa mitihani yao ya kidatu cha Nne Zanzibar, Ali Saleh, akitowa changamoto kuhusu mjadala wa kujadili kitendo hicho.
Mzezi wa mmoja wa Mwanafunzi alefutiwa mitihani Mzee Ali Hassan, akitowa maelezo katika kongamano hilo kuhusu mtoto wake, ambaye alikuwa akifanya vizuri tangu msingi na katika mitihani ya majaribio amefanya vizuri na kupata nafasi za juu.
Wazee wakimsikiliza Muwezeshaji Ali Saleh, akitowa mada kuhusu mkutono huo wa Kongamano hilo.
Picha na Othman Maulid-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment