SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, January 21, 2012

Rais Jakaya Kiwete Akiongoza Hafla ya Kutoa Heshima Za Mwisho Kwa Marehemu Jeremiah Sumari Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam Leo

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Marehemu Jeremiah Sumari likiwasili katika uwanja wa Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo January 21, 2012 tayari kwa kupewa heshma za mwisho.

Rais Kikwete akiongoza umati mkubwa wa waombolezaji katika halfa hiyo

Rais Kikwete akitoa heshima zake za mwisho

Rais Kikwete akimpa pole mjane Mama Miriam Sumari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Jeremiah Sumari katika Viwanja vya mnazi mmoja leo. Mhe. Sumari alifariki tarehe 18 Januari, 2012 katika hospitali ya Muhimbili
Rais Kikwete, Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman, Spika Anne Makinda na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe kwenye hafla hiyo.Picha na IKULU

0 comments:

Post a Comment