SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, January 21, 2012

Rais Jakaya Kikwete Akutana na Uongozi wa NCCR Mageuzi Ikulu jijini Dar es salaam leo

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI Mh James Mbatia

Rais Jakaya Kikwete akipokea mapendekezo ya chama cha NCCR-MAGEUZI kuhusu mchakato wa Katiba toka kwa Mwenyekiti wa chama hicho Mh James Mbatia leo alipokutana na uongozi wa chama hicho Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Kikwete akiongea na uongozi wa NCCR-MAGEUZI
Mkuu wa Idara ya Katiba na Sheria wa Chama cha NCCR - Mageuzi, Dk. Sengondo Mvungi akisoma mapendekezo ya chama hicho juu ya mchakato wa katiba
Rais Jakaya Kikwete Akiwaaga baada ya picha ya pamoja.
Picha na IKULU.

0 comments:

Post a Comment