SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, January 20, 2012

DREVA WA KUSAFIRISHA MAGARI TOKA BANDARI YA DAR-ES-SALAAM KUELEKEA NCHINI ZAMBIA APATA AJALI MBAYA BARABARA YA MBOZI MBEYA MCHANA WA JANA

Dereva wa Gari inayosafirishwa kutoka bandari kuelekea nchini Zambia Aden Mwampyate akitolewa ndani ya gari baada ya kugongana na gari aina ya Fuso katika maeneo ya Senjele wilayani Mbozi mchana huu.

Dereva Aden akiwa katika maumivi makali wakati akitolewa ndani ya Basi akikimbizwa hospitali ya Ifisi
Wasamaria wakimpandisha dereva aliyepata ajali ndani ya Coasster ambayo alipewa msaada kwa ajili ya kupatiwa matibabu kwenye Hospitali Teule ya Ifisi
Wauguzi wa hospitali ya Ifisi wakimpeleka majeruhi ambaye ni dereva aliyepata ajali wodini kwa ajili ya kupatiwa matibabu mchana huu.
Chanzo: Bofya

0 comments:

Post a Comment