SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, January 18, 2012

Benki Ya Dunia Kutoa Bilioni 22.8 Kushughulikia Maendeleo ya kilimo Tanzania, Burundi na Uganda

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Kaimu Mwakilishi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang Tembon(kulia) wakisaini hati ya msaada makubaliano ya msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP) uliotolewa na Japan na utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB) leo.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO

0 comments:

Post a Comment