SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, December 9, 2011

Uganda yatia mchanga Keki ya Uhuru wa Tanzania bara

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, Mrisho Ngasa (kushoto) akifanyiwa madhambi na beki wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes', 
Godfrey Walusimbi huku mwamuzi wa pembeni akiwa ameinua kibendera, wakati wa mechi ya nusu fainali ya mchezo wa Kombe la Chalenji uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
Stars ilifungwa mabao 3-1, kiwa ni siku moja kabla ya Tanzania bara kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika.

 Kwa matokeo hayo Kili Stars leo ndio watakuwa wamelikabidhi rasmi kombe hilo kwa timu za Uganda na Rwanda kwani ndio alikuwa Bingwa mtetezi, kuliwania kwani ndio timu zilizofuzu kucheza fainali.
Sasa Kili Stars itaungana na Sudan katika kuwania nafasi ya mshindi wa tatu.  
Picha na Fadhil Akida. 

0 comments:

Post a Comment