SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, July 4, 2011

MABALOZI WA FINLAND NA UJERUMANI NCHINI TANZANIA WAMUAGA MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Finland nchini Tanzania,  Juhan Toivonen , wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 04, 2011 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Balozi wa Finland nchini Tanzania,  Juhan Toivonen , wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 04, 2011 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dkt. Guido Herz, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 04, 2011 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini.Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais

0 comments:

Post a Comment