SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, June 18, 2011

Waigizaji Filamu Nchini Watinga tena Bungeni Mjini Dodoma

Waziri wa Viwanda,Biashara  na Masoko Dr. Cyril Chami (kushoto) akizungumza na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini kwenye  viwanja vya Bunge Mjini Dodoma jana. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Vicky Kamata
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk. Cyril Chami akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini waliokwenda Bungeni mjini Dodoma jana.Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum,Vicky Kamata.
Picha na Ofisi Ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment