Wachezaji
wa timu ya Netiboli ya CMTU wenye jezi nyekundu wakichuana na timu ya
wanafunzi wa zamani waliowahi kusoma katika shule za Makongo na Lugalo,
katika bonanza la wanafunzi waliosoma katika shule hizo lililofanyika
jana, kwenye viwanja Leaders jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na
wanafunzi wa sasa pamoja na walimu wa shule hizo.
Msemaji
wa Bonanza hilo Mwani Nyangasa akiwapa moyo wachezaji wa timu yao ya
Makongo katika bonanza hilo lililofanyika Leaders Club Konondoni.
Wanafunzi
wa Makongo wakipata maelezo ya huduma za benki ya NMB kutoka kwa
wafanyakazi wa benki hiyo, wakati wa bonanza la wanafunzi waliowahi
kusoma katika shule ya sekondari ya Makongo jana, katika viwanja vya
Leaders Kinondoni jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment