SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, June 20, 2011

Filamu ya Maalim Seif yatikisaTamasha la ZIFF

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad akiwahutubia wakazi wa Zanzibar waliofurika katika ukumbi wa Ngome Kongwe kushuhudia uzinduzi wa Filamu Maalum inayoelezea maisha yake ambayo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika Tamasha la Filamu Zanzibar linaloendelea hivi sasa kisiwani hapa.
Picha: Imelda Mtema/Zanzibar

0 comments:

Post a Comment