SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, June 10, 2011

SHEREHE YA KUZALIWA KWA TOP MODEL FLAVIANA MATATA!!


Top Model Flaviana Matata akifurahia Cake kutoka Mo Blog Team ambapo ilikumbuka sherehe yake ya kuzaliwa usiku wa kuamkia leo.
Flaviana na Mdogo wake Flavius walizaliwa tarehe moja hivyo walisheherekea pamoja sherehe yao ya kuzaliwa. Hii ni Cake nyingine zawadi kutoka kwa rafiki yake Jennifer.
Click

0 comments:

Post a Comment