SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, June 14, 2011

MH. BALOZI WA TANZANIA UK AHUDHURIA “TROOPING THE COLOUR EVENT”

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter A. Kallaghe na familia yake walipata mwaliko maalum katika ofisi ya Waziri Mkuu nchini Uingereza mheshimiwa David Cameroon 10 Downing street, London siku ya Jumamosi tarehe 11/6/2011 kuhudhuria  “Trooping The colour”,  Parade maalum ya kila mwaka ya kuadhilimsha siku ya kuzaliwa kwa Malikia Elizabeth II.
Asanteni, imetumwa na
Urban Pulse Creative.
Balozi Peter kallaghe akiwa na familia yake nje ofisi na makazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza.
Malkia Elizabeth ll katika gari la kuvutwa na farasi.
Parade ya nguvu.
Picha ya pamoja Mh. Waziri Mkuu wa Uingereza  David Cameroon na familia ya Balozi Kallaghe.

0 comments:

Post a Comment