SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, June 14, 2011

MAANDALIZI YA MAONYESHO YA SABA SABA YAANZA

Banda la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Banda la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam likifanyiwa ukarabati.
Banda la chuo Kikuu cha Ardhi likifanyiwa ukarabati.
Ukarabati wa mabanda haya umesababisha kupatikana kwa ajira kwa baadhi ya vijana. Pichani vijana wakipiga mzigo wa kubeba magunia ya mchanga na cement.
Baadhi ya vijana wakisubiri kibarua cha kufanyia ukarabati banda la maonyesho ya biashara la Home Shopping Centre.
Banda la Wizara ya Mali Asili na Utalii.

0 comments:

Post a Comment