SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 22, 2011

VODACOM FOUNDATION YAENDELEZA VITA JUU YA UHABA WA MADAWATI NCHINI!!

Afisa wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom (Vodacom Foundation) Grace Lyon akimsalimia mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mkoani iliyopo wilaya ya kibaha mkoani Pwani mara baada ya kufika shuleni hapo kukabidhi msaada wa madawati  50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 4 yaliyotolewa na Vodacom Foundation,anaeshuhudia kulia Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Praygod Mseja. 
Afisa wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom (Vodacom Foundation) Grace Lyon, Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Mkoani  iliyopo wilaya ya kibaha mkoani wa pwani akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule  hiyo  mara baada ya uongozi wa Vodacom kufika shuleni hapo  kukabidhi msaada wa madawati  50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 4. 
Afisa wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom (Vodacom Foundation) Grace Lyon akiongea jambo na mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mkoani iliyopo wilaya ya kibaha mkoani Pwani mara baada ya kufika shuleni hapo kukabidhi msaada wa madawati  50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 4 yaliyotolewa na Vodacom Foundation. 

0 comments:

Post a Comment