SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 22, 2011

Good Music Family Kuachia "Komesho"


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Acity finest G-Warawara Mweusi Tha
Finest wa AR pamoko na Mweusi Nick.
Wameshoot Video ya ngoma iitwayo "Komesho" pande za Arachuga chini ya
camera za Hoodpixx under director Defxtro,video Hii inatarajiwa
kuingia media soon kabla ya uzinduzi rasmi wa mixtape ya Gnako
"Hangover ya Hasira" ambayo ndani wameshirikishwa Mc's kibao wakali
na imekwisha malizika mastering pale Noizmekah Studios."
Good music.
Family ni unity kati ya Nako 2 Nako  na River Camp" katika kupeleka
Hiphop to the Higher Level kasababu raia wanaosupport hiphop wako na
sisi pamoja" asema Gnako.

0 comments:

Post a Comment