SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, May 6, 2011

TANGAZO LA MSIBA
Mh. Anne Sembamba Makinda (Mb), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza msiba wa mama yake mzazi TULIKELA SAMNYUHA uliotokea ghafla Alhamisi tarehe 05/05/2011 mjini Dodoma.

Mazishi yatafanyika siku ya Jumapili Tarehe 08/05/2011 Kijijini kwao Njombe.

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe Ameen.

0 comments:

Post a Comment