SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, May 14, 2011

ALEXIA WILLIAM ATWAA TAJI LA VODACOM MISS DAR CITY CENTRE 2011!!!


Mshindi wa taji la Vodacom Miss Dar City Centre Alexia William katika pozi.
 
VODACOM Miss Dar City Centre 2011/12 Alexia William
  (katikati), akipunga mkono muda mfupi baada ya kuvishwa taji hilo, (kushoto), ni mshindi namba mbili Salah Israel na mshindi namba tatu, Jennifer Kakolaki. 
Habari na Picha Zaidi:

0 comments:

Post a Comment