SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, March 25, 2011

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA RAIS OMAR EL BASHIR WA SUDAN

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Ujumbe maalum wa Rais Omar El Bashir wa Sudan kutoka kwa mjumbe maalum ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Ali Ahmed Karti aliouwasilisha Ikulu Jijini Dar es Salaam leo asubuhi.(Picha na Freddy Maro)

0 comments:

Post a Comment