LIBENEKE LA MTANZANIA KUTOKA UDOSINI-INDIA
HABARI ZENU WADAU ,NATUMAINI NI WAZIMA WA AFYA NA MNAENDELEA POA NA UJENZI WA TAIFA.NAPENDA KUCHUKUA FURSA HII KWENU WADAU KUMTAMBULISHA MWANALIBENEKE MWINGINE HUYO NA KUWAOMBA MUMPOKEE KWA MIKONO MIWIWLI NA KUMPA USHIRIKIANO WA KUTOSHA KWA KUITEMBELEA BLOG YAKE MUONI NI YAPI AMBAYO ANAYAKUSUDIA KUSHEA NANYI.
SAID OMAR MIHALA NI MTANZANIA AKIWA MASOMONI NCHINI INDIA AMEFUNGUA BLOG YAKE INAYOHUSU MASUALA MAZIMA YA JAMII KWA UJUMLA.
NAIMANI MTAMPOKEA VIZURI NA KUMPA SAPOTI YA KUTOSHA KUPELEKA
HARAKATI HIZI MBELE ILI JAMII INUFAIKE NA KILE KILICHOKUSUDIWA.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI.
KUPATA BLOG HIYO BOFYA HAPA:
KUPATA BLOG HIYO BOFYA HAPA:
0 comments:
Post a Comment