Fuatilia mahojiano ya kina ya Madaraka Nyerere ndani ya bongocelebrity.com
Jina la Madaraka Nyerere (pichani) sio geni miongoni mwa watanzania.
Ukiachilia mbali ukweli kwamba yeye ni mtoto wa sita wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kitu ambacho bila shaka kinampa automatic celebrity status), yeye pia ni mwandishi,mfanyabiashara na mtu ambaye huwa hasiti kuelezea hisia zake kuhusu mambo mbalimbali iwe ni katika nyanja za kisiasa,kijamii na hata kiuchumi kila mara fursa ya kufanya hivyo inapojitokeza.

Mwaka
jana mwezi wa nne(April) yeye na Jaffar Amin(mtoto wa Iddi Amin-Rais
wa zamani wa Uganda) waliingia katika vitabu vya kumbukumbu vya wapenda
amani duniani walipokutana kwa mara ya kwanza ikiwa ni ishara ya amani na usuluhisho barani Afrika na kwingineko.
Hivi
karibuni nilipata nafasi ya kuzungumza naye kuhusu mambo kadhaa
yakiwemo ya kifamilia na pia kupata maoni yake kuhusu mambo
mbalimbali.Je,ni kwanini mpaka leo hii hajajiingiza katika masuala ya
siasa au uongozi?Anamuelezeaje Hayati Baba wa Taifa kama baba yake na
kama kiongozi?Ana ushauri gani kwa wapiga kura katika mwaka huu wa uchaguzi? Ana mtizamo gani kuhusu viongozi mbalimbali ambao hupenda kumuenzi Baba wa Taifa kwa maneno huku vitendo vyao vikiwa tofauti kabisa? Unataka kujua kwanini alipewa jina la “Madaraka”? Ana ushauri gani kwa vijana kuhusu suala zima la kujiletea maendeleo?
Fuatana nasi
katika mahojiano yafuatayo; Ingia Hapa
0 comments:
Post a Comment