ZIFF KUANZA RASMI JULAI 10,2010
Mkurugenzi wa Tamasha la ZIFF,Dr. Martin Mhando
akifafanua jambo kwa wadau waliofika katika mkutano wa ufunguzi rasmi wa
tamasha hilo uliofanyika leo katika ukumbi wa Alliance Francaise jijini
Dar es salaam.
Mratibu wa Maswala ya Muziki wa ZIFF,Edward Lusala
(kushoto) akitaja list ya wasanii watakao panda jukwaani katika tamasha
hilo linalotazamiwa kuanza rasmi Julai 10 mpaka Julai 18 huko kisiwani
Zanzibar.wengine toka kulia ni Dean Nyalusi (Meneja wa ZIFF),Dr. Martin
Mhando (Mkurugenzi wa ZIFF) na Ibrahim Mitawi (Msaidizi wa mambo ya
Kiufundi ZIFF).
Baadhi ya wadau walifika leo katika ufunguzi rasmi wa
tamasha la ZIFF katika ukumbi wa Alliance Francaise jijini Dar
wakifuatilia kwa makini maelezo ya Dr. Mhando (hayupo pichani)..
habari zaidi bofya hapa chini
http://issamichuzi.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment