SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, July 5, 2010

Wanajeshi wa China na Pakistan wanaoshiriki kwenye mazoezi


Mazoezi ya pamoja ya kupambana na ugaidi ya China na Pakistan "Urafiki – 2010 " yanayofanyika kwa siku 11, tarehe 4 yameingia katika kipindi cha mazoezi ya mchanganyiko. Baada ya wanajeshi wa China na Pakistan kuchanganywa na kugawanywa kwenye vikundi, watafanya mazoezi ya pamoja, yakiwemo mazoezi ya viungo, mapigano, ustadi wa kufyatua risasi na kuwaokoa mateka.

Mazoezi hayo ya "Urafiki – 2010 " yalianza rasmi tarehe 3 katika sehemu ya Qing Tong Xia mkoani Ningxia, China. Nchi hizi mbili zimetuma askari zaidi ya wazuri 200 kushiriki kwenye mazoezi hayo.

0 comments:

Post a Comment