SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, July 7, 2010

Rais Luiz Inacio Lula Da Silva wa Brazil atua Tanzania
JK akimkaribisha mgeni wake Rais Luiz Inacio Lula da Silva muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana jioni kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania
Rais wa brazil Luiz Inacio Lula da Silava wa Brazil akikaribishwa kwa maua muda mfupi baada ya kuwaisili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa jijini Dar. Pembeni yake ni mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete. Rais Wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakipokea heshima wakati wa gwaride rasmi la makaribisho lililoandaliwa na jeshi la wananchi wa Tanzania katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar Rais Wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakipokea heshima wakati wa gwaride rasmi la makaribisho lililoandaliwa na jeshi la wananchi wa Tanzania katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na jeshi la Wananchi wa Tanzania muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana jioni

0 comments:

Post a Comment