JK amkaribisha
Rais Lula Da Silva wa Brazil Ikulu na Sabasaba
JK na mgeni wake Rais Luiz Inacio Lula Da Silva wa
Brazil wakitazama vifaa mbalimbali katika Banda la Jakaya Mrisho Kikwete
ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara
yanayoendelea katika viwanja vya maonyesho ya Mwalimu Nyerere Jijini
Dar. Wa kwanza kulia ni Meneja Mkazi wa Brazafric nchini Tanzania Bw.
Readou Sakwa.
JK na mgeni wake Rais Luiz Lula Da Silva wakiingia ikulu
jijini Dar na kulakiwa na umati mkubwa wa watu waliojitokeza kumpokea
leo mchana.
JK akionesha umahiri wake wa kupiga ngoma wakati
alipomkaribisha Rais Luiz Lula da Silva wa Brazil(kushoto) ikulu jijini
Dar es Salaam leo mchana.
Akionesha umahiri wake wa kupiga ngoma wakati
alipomkaribisha Rais Luiz Lula da Silva wa Brazil Ikulu jijini Dar.
Rais Luiz Lula Da Silva wa Brazil akimuangalia Simba
dume aliyekaushwa kwa utaalamu na kuwekwa kama pambo katika mlango wa
ikulu jijini Dar
iliyosainiwa na
wanasoka wote nyota wa timu ya Brazil
Picha na mdau Freddy Maro wa
Ikulu





0 comments:
Post a Comment