HARAKATI ZA MTANZANIA KUTOKA UDOSINI-INDIA
HAYA TENA WADAU MWANALIBENEKE MWINGINE HUYO ITEMBELEENI BLOG YAKE MUONI NI YAPI AMBAYO ANAYAKUSUDIA KUSHEA NANYI.
SAID MIHALA NI MTANZANIA AKIWA MASOMONI HAPA NCHINI INDIA AMEFUNGUA BLOG YAKE INAYOHUSU MASUALA MAZIMA YA JAMII KWA UJUMLA.
NAIMANI MTAMPOKEA VIZURI NA KUMPA SAPOTI YA KUTOSHA KUPELEKA
HARAKATI HIZI MBELE ILI JAMII INUFAIKE NA KILE KILICHOKUSUDIWA.
KUPATA BLOG HIYO BOFYA HAPA: http://saidmihala.blogspot.com/
KUPATA BLOG HIYO BOFYA HAPA: http://saidmihala.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment