Chege
akiwa ameshikilia MIC tayari kwa kukamua ipasavyo, kabla ya Chege na
Temba alikuwa msanii mwingine Dully Sykes na alikamua ipasavyo kama
mnavyojua mziki wa Dully akiwa kwa steji.
Mtamboni alikuwa DJ CHOKA kwa hiyo hakuna kilichoharibika, baadae nitawawekea
clip ya show hii ya Chege na Temba.
Wakazi wa Dar es salaam walimiminikakwa wingi na walishuhudia kila kitu kikiendelea pale Coco Beach
NA DJ CHOKA
0 comments:
Post a Comment