SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, June 10, 2010

Cairo-Misri yatangaza matokeo ya uchaguzi wa kipindi cha kati wa baraza la juu la bunge

Kamati kuu ya uchaguzi ya Misri tarehe 9 ilitangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa kipindi cha kati wa baraza la juu la bunge, ilisema chama tawala cha Misri kimepata viti 80 kati ya 88, na vyama vinne vya upinzani na watu wanne wasio wa chama chochote walipata viti vingine vinane.
Misri ilifanya maduru mawili ya upigaji kura mnamo tarehe 1 na 8 Juni, ambapo wagombea kutoka vyama 13 na wengine 331 wasio wa chama chochote walishiriki kwenye uchaguzi huo, na watu wapatao milioni 8 walishiriki kwenye upigaji kura.

0 comments:

Post a Comment