JK na Mtendaji Mkuu wa MCC Bwana Daniel
Yohannes(kushoto) na Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt(wapili)
wakifunua kitambaa kwenye jiwe la Msingi kuashiria kuzindua rasmi ujenzi
wa Barabara ya Tanga-Horohoro. JK na Mtendaji Mkuu wa MCC Bwana Daniel
Yohannes(kushoto) na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt
wakishangili muda mfupi baada ya kuzindua uejnzi wa Barabara ya Tanga
hadi Horohoro leo mchana.
Baadhi ya wananchi wa eneo la Mikocheni Tanga
wakisalimiana na Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa
Barabara ya Tanga Horo barabara ya Tanga Horohoro leo mchana JK akipiga stori na mwanafunzi ambaye jina lake
halikuweza kupatikana mara moja muda mfupi baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Tanga ambapo alizindua mtambo mpya wa kuzalisha
saruji na kuzindua ujenzi wa Barabara ya Tanga-Horohoro
JK akifunua kitambaa kushiria kuzindua rasmi Mtambo Mpya
wa kutengeneza Saruji katika kiwanda cha Saruji Tanga leo asubuhi.
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
Michuzi blog
Friday, May 28, 2010
JK azindua mtambo mpya wa kutengeneza saruji tanga
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Friday, May 28, 2010
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment