SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO WAKUTANA KUZUNGUMZA KUHUSIANA NA MIZIGO YAO ILIOKWAMA BANADARINI. Show all posts
Showing posts with label WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO WAKUTANA KUZUNGUMZA KUHUSIANA NA MIZIGO YAO ILIOKWAMA BANADARINI. Show all posts

Tuesday, May 28, 2013

WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO WAKUTANA KUZUNGUMZA KUHUSIANA NA MIZIGO YAO ILIOKWAMA BANADARINI


Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo wameahidi kuendelea kutafuta suluhu kwa njia ya mazungumzo na serikali juu ya mgogoro wa makontena ambayo yamezuiliwa bandarini, kitendo ambacho kimeathiri biashara zao kwa mda mrefu sasa kwani wemeshindwa kufanya biashara ndani na nchi jirani kwa takriban zaidi ya wiki tatu.
Tamko hili lililotolewa na Jumuiya Hii wiki iliopita, limeeleza kuwa tayari wametuma maombi kwa wizara husika na idara za serikali za mapato ili kuwepo na mkutano utakaoweza kutizama jinsi ya kutatua mgogoro wa makontena zaidi ya 400 ambayo yamezuiliwa bandarini.