SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Simba Na Yanga Wakabidhiwa Mabasi Yao Na TBL. Show all posts
Showing posts with label Simba Na Yanga Wakabidhiwa Mabasi Yao Na TBL. Show all posts

Saturday, September 22, 2012

Simba Na Yanga Wakabidhiwa Mabasi Yao Na TBL


 Wapenzi wa Simba wakitumbuiza huku wakiwatania watani wao wa jadi Yanga kwa kipigo cha mabao matatu kwa nunge dhidi ya Mtibwa Suger, jana wakati wa hafla ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kuzikabidhi Yanga na Simba mabasi mapya makubwa mawili yenye thamani ya sh. mil. 450, Dar es Salaam leo.