SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Picha ya Rais Kim Jong-Un yazua mgogoro. Show all posts
Showing posts with label Picha ya Rais Kim Jong-Un yazua mgogoro. Show all posts

Wednesday, April 16, 2014

Picha ya Rais Kim Jong-Un yazua mgogoro

Viongozi wa Korea Kaskazini walitembelea saluni moja iliyoko mjini London, kutaka kujua ni kwa nini walitumia picha ya kiongozi wao Kim Jong-un katika bango la kibiashara.
Bango hilo lenya picha ya rais huyo, lilitumiwa kutangaza kupunguzwa kwa bei ya kunyolewa katika saluni moja.