
Ndege
iliyoubeba mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha Marehemu Dkt. Willium
Mgimwa Ilipowasili katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere Leo
Kutokea Nchini Afrika Kusini alipokutwa na Mauti siku chache zilizopita.
ne
Mama Jane Mgimwa(katikati) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika
kusini Radhia Msuya(kulia) mara baada ya kuwasili kutoka nchini Afrika
kusini


