SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Canada. Show all posts
Showing posts with label Canada. Show all posts

Saturday, September 21, 2013

Rais Jakaya Kikwete Atunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario,Canada

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa  na  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kuelekea ukumbini  kutunukiwa Shahada Ijumaa Septemba 20, 2013