Mshindi
wa promosheni ya Tigo 'Shinda Kitita na Tigo Pesa' Bi. Germina Shayo
(kushoto) akipokea mfano wa hundi wa shilingi milioni 10 kutoka kwa
Mratibu wa Promosheni wa Tigo Pesa Mary Rutta katika hafla fupi ya
makabidhiano yaliyofanyika mapema leo katika makao makuu ya Tigo,
Makumbusho jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa Tigo ishazawadia fedha
taslimu shilingi milioni 830 kwa wateja 2,335 nchi nzima.
Showing posts with label 335. Show all posts

Wednesday, February 5, 2014
TIGO YAZAWADIA MILIONI 830/- KWA WATEJA 2,335
Mshindi
wa promosheni ya Tigo 'Shinda Kitita na Tigo Pesa' Bi. Germina Shayo
(kushoto) akipokea mfano wa hundi wa shilingi milioni 10 kutoka kwa
Mratibu wa Promosheni wa Tigo Pesa Mary Rutta katika hafla fupi ya
makabidhiano yaliyofanyika mapema leo katika makao makuu ya Tigo,
Makumbusho jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa Tigo ishazawadia fedha
taslimu shilingi milioni 830 kwa wateja 2,335 nchi nzima.
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Wednesday, February 05, 2014
0
comments
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook