Viongozi wa JICA
Viongozi wa TANESCO
Viongozi
wa Shirika la Umeme Tanesco kutoka kushoto Naibu Mkurugenzi Mtendaji
-Uwekezaji Mhandisi,Decklan Mhaiki,Kaimu Naibu Mkurugenzi
Mtendaji-Usambazaji na Huduma kwa Wateja Mhandisi,Sophia Mgonja na
Meneja Mafunzo Dorothy Migembe.
Kiongozi wa JICA akizungumza na waandishi.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji -Uwekezaji Mhandisi,Decklan Mhaiki,akizungumza na waandishi.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji -Uwekezaji Mhandisi,Decklan Mhaiki,akipokea zawadi kutoka kwa mmoja wa viongozi wa JICA.
Kaimu
Naibu Mkurugenzi Mtendaji-Usambazaji na Huduma kwa Wateja
Mhandisi,Sophia Mgonja,akipokea zawadi kutoka kwa mmoja wa viongozi wa
JICA.
Sehemu ya viongozi wa JICA.
Wafanyakazi wa Tanesco.
Viongozi wa Tanesco wakifuatilia jambo wakati wa mkutano.
Viongozi wa Tanesco na JICA wakiwa katika picha ya pamoja.
CHANZO: BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment