SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, March 10, 2014

Picha Za Matukio Mbalimbali Kutoka Bunge Maalum La Katiba Leo Mjini Dodoma

 Mjumbe wa bunge Maalum la Katiba Bw.  Augustino Mrema akimweleza jambo Mjumbe mwenzie Bw. Islaim Aden Rage leo Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalumla Katiba na Wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni zitakazotumika katika Bunge maalum la Katiba Bw. Prof. Costa Mahalu (Kulia) na Tundu Lissu wakielekea katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya semina ya kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la katiba, leo Mjini Dodoma.
 Wajumbe wa Bunge maalum la katiba Bw. Hamadi Rashidi (kushoto) Juma Alawi (katikati) na Thumwein Thuwein wakielekea katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya semina ya kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la katiba, leo Mjini Dodoma.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta (kulia) akimweleza jambo Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda ndani ya ukumbi wa bunge leo mjini Dodoma.
 Mjumbe wa Bunge maalum la katiba Bw. Ally Kessy akiwaeleza jambo jambo Wajumbe wenzie Bw. Edward Lowassa (katikati) na Almas Maige ndani ya ukumbi wa bunge leo mjini Dodoma.
Mjumbe wa bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni zitakazotumika katika Bunge maalum la Katiba Bw. Prof. Costa Mahalu akiwaeleza jambo wajumbe wa bunge hilo wakati wa semina ya kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la katiba, leo Mjini Dodoma.Picha Zote na Hassan Silayo-MAELEZO

 =========================================================================
Picha Rasmi Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu:Shughuli Mbalimbali Za Waziri Mkuu Mizengo Pinda Ndani ya Bunge Maalum la Katiba LEO Mjini Dodoma 
Mwenyekiti wa Kamati ya  Kanuni  ya kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la katiba , Profesa Costa Mahalu, Bungeni Mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Samuel Sitta, Bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi, Seif Idd (kushoto),  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira (kushoto)  na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (kulia) wakijadili jambokatika semina  wabunge wa Bunge aalum la Katiba, Bungeni Mjini Dodoma leo.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge la Katiba bungeni mjini Dodoma Machi 10, 2014.  Kutoka kushoto ni  Samuel Sitta, Kingunge Ngombale Mwiru, Profesa Anna Tibaijuka, Joseph Mbatia na Mathias Chikawe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Idd, Bungeni Mjini Dodoma, Machi 10,2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment