Bunge maalum la katiba limemchagua Mh. Pandu Ameir Kificho kuwa
mwenyekiti wa muda wa bunge hilo huku baadhi ya wajumbe wakilalamikia
kitendo walichokiita ujanja wa serikali wa kuchelewesha kwa makusudi
nakala za kanuni za kuendesha bunge la katiba kwa madai ya kuwanyima
fursa wajumbe hao kuzipitia kikamilifu ili kuepusha malalamiko na
hatimae kupata katiba iliyo bora kwa manufaa ya Watanzania
SPIKA WA BUNGE LA ZANZIBAR AMIR KIFICHO NDIYE MWENYEKITI WA MUDA BUNGE LA KATIBA
SPIKA WA BUNGE LA ZANZIBAR AMIR KIFICHO NDIYE MWENYEKITI WA MUDA BUNGE LA KATIBA

Spika
wa Bunge la Zanzibar, na Mbunge wa Bunge maalum la Katiba, Pandu Amir
Kificho amechaguliowa kwa kura zaidi ya 300 kushika nafasi ya Uwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Jana jioni
0 comments:
Post a Comment