SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, January 4, 2014

TPA yapata kigugumizi kuhusu shehena ya meno ya tembo na nyara za serikali.


Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania TPA imepata kiguguzi na kushindwa kulitolea ufafanuzi suala la kukamatwa meno ya tembo na nyara nyingine za serikali licha ya wizara ya maliasili kukiri kuwa imekamata nyara hizo na bado ziko bandarini hapo.

0 comments:

Post a Comment