SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, January 11, 2014

Rais Jakaya Kikwete Awaandalia Mabalozi Sherehe ya Kukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam Jana


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akisikiliza hotuba toka kwa Balozi wa DRC nchini Mhe Asumani Mpango ambaye pia ndiye Kiongozi wa Mabalozi nchini akihutubia wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party)  Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014


  Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wanawake wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014.Picha na IKULU

0 comments:

Post a Comment