SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, January 3, 2014

MAREHEMU DR MGIMWA ALIKUWA NI KIONGOZI ASIYEPENDA KUJILIMBIKIZIA MALI , HAPA NDIPO NYUMBANI KWAKE

Hapa  ndipo  nyumbani  alipozaliwa na alipokuwa akiishi  aliyekuwa  waziri  wa fedha na mbunge wa  jimbo la Kalenga Dr Wiliam Mgimwa na ndipo atazikwa hapa
Hii ndio nyumba ya  waziri wa fedha  Dr Wiliam Mgimwa  iliyopo jimboni Kalenga ambako ndipo alipozaliwa ikiwa na bendera   ikipepea  nusu mlingoti
< style="margin: 0px;">Hii  ni  nyumba anayoishi mama yake  ambayo  ipo  jirani na yake
Wanachama wa CCM wakibadilisha  bendera  nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa fedha  jioni ya  leo .usikose  kujua habari  zaidi  kesho  juu ya maisha ya  waziri Dr Mgimwa.
 Picha na Francis Godwin

0 comments:

Post a Comment