SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, December 27, 2013

MISS TANZANIA 2013 ASHEREHEKEA Krismasi na yatima MOROGORO

miss 27b0d

Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akikabidhi zawadi waliotoa katika kituo hicho kwa Mama Mkuu wa Wa shirika la Masista wa Moyo safi wa Maria Sista Flora Chuma. (HM
)
200 08fe1
200 08fe1


miss2 7ce69

Watoto wa kituo cha kulea watoto yatima cha masista wa Moyo Mtakatifu wa Maria cha Mgolele mkoani Morogoro wakiwa katika Picha ya Pamoja leo walipopata Ugeni Kutoka kwa Miss tanzania Happiness Watimanywa Aliyeambatana na wakurugenzi wa Miss tanzania Pamoja na Wazazi wake ndugu na jamaa wake wa Karibu.

miss3 db464

Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundega Akiwa na Katibu wa Miss Tanzania Bosco Majaliwa leo awlipoongozana na Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa Alipotembelea Kituo cha Kulea watoto Yatima cha Mgolole Kinachomilikiwa na Masista wa Moyo safi Wa Maria Cha Mkoani morogoro.


100 912f8

CHANZO: BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment