Wafanyakazi wa Benki ya Barclays katika picha ya pamoja katika viwanja vya Shule ya Msingi Kibasila iliyopo wilayani Temeke jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Mawasiliano Dakshit Pandya akitoa mafunzo ya Ujasiriamali kwa wajasiriamali wa wilaya ya Temeke jijini Dar es Saalam.
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays, Valence Luteganya (mwenye fulana nyeupe) akitoa somo kwa washiriki.(P.T)
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays, Ayoub Katuga akitoa elimu ya Ujasiriamali kwa washiriki.
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Confort Mndema (wa kwanza kulia aliyesimama) akitoa elimu kwa washiriki.
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Eliza Kihwili akitoa mwongozo kwa wa elimu ya ujasiriamali. washiriki.
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Eliza Kihwili akitoa mwongozo kwa wa elimu ya ujasiriamali. washiriki.
Wahitimu wa darasa la saba ambao wamejiunga na vikundi vya Vicoba wakipata mwongozo kutoka kwa mmoja wa wafanyaakazi wa Benki ya Barclays.
Stephania Soko ambaye ni mmoja wa wajasiriamali akitoa mchango wake wakati wa mafunzo.
Washiriki wakiwa mafunzoni
Washiriki wakiwa katika mjadala
Mshiriki Edwin Mwelala akitoa mchango
Mfanyakazi Valence Luteganya akitiwasilisha somo.
Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Mawasiano, Dakshit Pandya akitoa elimu kwa washiriki.Kulia ni Afisa Mawasiliano wa Benk ya Barclays Lilian Machera na kushoto ni Meneja wa Plan International tawi la Ilala Donatian Marusu.
Picha zote na Hussein Makame, MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment