Rais Jakaya Kikwete akiongea na baadhi ya watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni katika hotel ya Churchill London. Rais Kikwete alikuwa anarejea nyumbani Tanzania mara baada ya kumaliza mkutano wake wa OGP (Open Government Partnership) uliofanyika London nchini Uingereza. Pembeni yake kulia ni Bi Mariam Mungula, Kaitbu wa CCM UK.
;Mwenyekiti wa CCM UK Ndugu Maina Owino akiongea jambo na Rais Kikwete
Rais Kikwete akijibu swali la Ndugu Maina Owino
Mwenyekiti wa CCM UK akisalimiana na Rais Kikwete na kumshukuru kwa muda wake aliojitoela kuongea na baadhi ya watanzania waliojitokeza jioni ya jana kumuaga. |
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni katika hotel ya Churchill London. |
Baada ya kuagana na Rais Kikwete wadau waliojitokeza kumuaga walipata fursa ya kupiga picha na kubadilishana mawazo na Waziri wa Sheira na Katiba Mhe. Mathias Chikawe (watano kushoto). |
Waziri wa Sheira na Katiba Mhe. Mathias Chikawe akiwa katika picha ya pamoja wa watanzania waishio UK kutoka kushoto ni hussein Kove, Mariam Mungula, Mhe. Waziri, Kapinga Kangoma na Mohamed Upete. |
< style="text-align: center;">Mhe. Chikawe katika picha ya pamoja ya Ahmed
< style="text-align: center;">Mhe. Chikawe akibadilishana mawazo na Mariam & Ahmed
< style="text-align: center;">Mazungumzo yakiendelea
< style="text-align: center;">Mariam & Ahmed wakibadilishana mawazo
Nayla, Munira, JwaD, Mariam, Rahma & Ahmed
Picha na Jestina George .
Picha na Jestina George .
0 comments:
Post a Comment