SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, November 2, 2013

Tamasha la Mitindo la Mercedez Benz African Fashion Week laendelea jijini Pretoria,Afrika Kusini


 Wanamitindo mbali mbali wakipita stejini kuonyesha mavazi yaliyobuniwa na Mbunifu,Bongiwe Walaza wa Nchini Afrika Kusini wakati wa Muendelezo wa Maonyesho ya Mavazi katika Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week,lililofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Jiji la Pretoria,nchini Afrika Kusini.Picha zote na Othman Michuzi
 Baadhi ya Mavazi ya Mbunifu,Mustafa Hassanali.
Wanamitindo mbali mbali wakipita stejini kuonyesha mavazi yaliyobuniwa na Wabunifu,Taibo Bacar na Thula Sindi wa Nchini Afrika Kusini wakati wa Muendelezo wa Maonyesho ya Mavazi katika Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week,lililofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Jiji la Pretoria,nchini Afrika Kusini

0 comments:

Post a Comment