SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, October 12, 2013

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hssan Mwinyi Washiriki Harambee Ya Kuchangia Chama Cha Mapinduzi(CCM)Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hssan Mwinyi,(Mzee Ruksa) wakigonganisha Glasi za maji kama ishara ya kufungua Harambee ya kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa wa Kaskazini,katika ukumbi wa mikutano wa Sea Cliff-Kama, jana usiku.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Cheti cha Shukurani Katibu wa Rais Haroub Mussa Shaibumkwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano,Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,kutoka na Mchango wake aliokichangia Chama Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika Harambee iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-kama Wilaya ya kaskazini B,Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akipokea Mchango wa Millioni mbili fedha tasilim kutoka kwa Mkereketwa wa CCM Mohamed Naushad,wakati wa Harambee ya kukichangia Chama Mkoa wa Kaskazini Unguja,hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,Wilaya ya Kaskazini B,jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akipokea Mchango wa Millioni mbili fedha tasilim kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mohamed Raza Daramsi,wakati wa Harambee ya kukichangia Chama Mkoa wa Kaskazini Unguja,hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,Wilaya ya Kaskazini B,jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akipokea Mchango wa Millioni tatu fedha tasilim kutoka kwa Mkurugenzi wa ZSSF Abdulwakil Haji Hafidh,wakati wa Harambee ya kukichangia Chama Mkoa wa Kaskazini Unguja,hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,Wilaya ya Kaskazini B,jana.
Muongozaji wa hafla ya kukichangia Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja,Chimbeni Kheir,akiinadi picha ya kuchora ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,wakati wa Harambee iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,Wilaya ya Kaskazini B,jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Haji Omar Kheir,picha ya kuchora aliyoinunua kwa kiasi cha Shilingi Millioni Tatu,wakati wa Harambee ya kukichangia Chama Mkoa wa Kaskazini Unguja,hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,Wilaya ya Kaskazini B,jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi picha ya kuchora Meneja wa Blue Bay Bw,Julian Barton,aliyeinunua saa yenye sura ya Rais,kwa kiasi cha Shilingi Millioni Tatu,wakati wa Harambee ya kukichangia Chama Mkoa wa Kaskazini Unguja,hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,Wilaya ya Kaskazini B,jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Malik Faraj,Vikombe na Sahani,aliyevinunua kwa kiasi cha Shillingi Milioni moja na nusu,baada ya kunadishwa katika Harambee ya kukichangia Chama Mkoa wa Kaskazini Unguja,hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,Wilaya ya Kaskazini B,jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Juma Pinto,kalamu mbili aliyezinunua kwa kiasi cha Shillingi Milioni moja,baada ya kunadishwa katika Harambee ya kukichangia Chama Mkoa wa Kaskazini Unguja,hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,Wilaya ya Kaskazini B,jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Viongozi wanachama na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,kwa kiasi kikubwa kufanikisha Harambee ya kukichangia Chama Mkoa Kaskazini Unguja,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,Wilaya ya Kasakazini B.
 Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

0 comments:

Post a Comment