SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, October 24, 2013

MAENDELEO YA MSIBA WA "BI MARTHA SHANI" WASHINGTON (DMV) NA VITONGOJI VYAKE!

Marehemu Martha Shani ( 1976- 2013 )
Marehemu Bi Martha akiwa na Mumewe Alex pamoja na Watoto wao Jose na Chris

NDUGU WATANZANIA BADO TUNAHITAJI MSAADA WENU WA HALI NA MALI ILI KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA MPENDWA MKE WAKE ALIYEFARIKI GHAFLA SIKU YA JUMAMOSI OCT 19, 2013. KUTOA NI MOYO NA CHOCHOTE UTAKACHOWEZA KITASAIDIA NA HATIMAE KUWEZESHA SAFARI HII NDEFU YA KUMPELEKA MAREHEMU KATIKA MAPUMZIKO KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE TANZANIA
TUNGEPENDA KUWAJULISHA KUWA JUMUIYA YA WATANZANIA (DMV) IMEPATA PUNGUZO LA GHARAMA (DISCOUNT) ZA  KUMSAFIRISHA MAREHEMU NA FAMILIA YAKE AMBAPO KWA SASA KIASI KINACHOHITAJIKA NI $ 16,500
FEDHA ZILIZOPATIKANA HADI SASA  NI $7,420
BADO TUNAHITAJI $ 9,080
TAFADHALI TUMA RAMBI RAMBI ZAKO KUPITIA ACCOUNT IFUATAYO :-
# 446030759150 BANK OF AMERICA,MD
ROUTING # 052001633
MAJINA KWENYE ACCOUNT NI 
ALEX KASSUWI & FAITH ISINGO
CHEKI ZINAWEZWA ANDIKWA KWA ALEX KASSUWI AU FAITH ISINGO.
PIA UNAWEZA KUTOA RAMBIRAMBI ZAKO KWA KUFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU AMBAKO NDIKO MSIBA UPO
ADDRESS NI 
482 ARWELL CT
FREDERICK, MD,21703

AU WAWEZA WASILIANA NA MMOJA YA WANAKAMATI HAPO CHINI NA KUMUELEKEZA UPO WAPI ILI AWEZE KUKUSANYA MCHANGO WAKO 
Tino Malinda -240-565-7133
Dickson Mkama - 301-661-6207
Mariam Mtunguja - 240-422-1852
Quizella Ntagazwa - 240-602-5011
MV Mtunguja- 240-593-0575
Victor Marwa - 240-515-6436
Faith Isingo - 240-705-1055
Julius Manase-240-393-8445
UKISOMA UJUMBE HUU TAFADHALI MTAARIFU NA MWENZIO, WAJIBU HUU NI WETU SOTE NA KWA PAMOJA TUNAWEZAHAKUNA KIDOGO PALIPO NA NIA. NA HAKUNA KIKUBWA PALIPO NA UMOJA.

0 comments:

Post a Comment