SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, October 31, 2013

Bado BodaBoda 370 na Tsh Milioni 298 kushindaniwa"Timka na Boda Boda"

 ab_b0f9b.jpg
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kushoto)akiwasiliana na mmoja wa washindi kati ya(60)waliojishindia Bodaboda na(24)wamejishindia fedha taslimu katika Promosheni ya "Timka na BodaBoda"ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.katikati ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Bakari Abdallah.
cd_90a62.jpg
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchesha droo ya Promosheni ya"Timka na BodaBoda" Jumla ya washindi(60)waliojishindia Bodaboda na(24)wamejinyakulia fedha taslimu katika Promosheni hiyo.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.katikati ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Bakari Abdallah.
ef_9a67b.jpg
Mshindi wa Promosheni ya"Timka na Bodaboda"Bw.Ernest Thawe,ambaye ni mfanyakazi wa Msimbazi Center kitengo cha ufundi wa bomba,akiesabu kitita chake cha shilingi 1,000,000 mara baada ya kuzitoa kwa njia ya M-PESA na kukabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kushoto)katikati ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid. Jumla ya washindi(60)wameshinda Bodaboda na(24)wamejinyakulia fedha taslimu katika Promosheni hiyo.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
gh_03b4b.jpg
Mshindi wa Promosheni ya"Timka na Bodaboda"Bw.Ernest Thawe,ambaye ni mfanyakazi wa Msimbazi Center kitengo cha ufundi wa bomba(kulia)pamoja na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,wakiwaonesha ujumbe wa M-PESA wa shilingi 1,000,000 kwa waandishi wa habari aliotumiwa baada ya kujishindia kupitia promosheni hiyo toka makao makuu ya Vodacom.Jumla ya washindi(60)wameshinda Bodaboda na(24)wamejinyakulia fedha taslimu katika Promosheni hiyo.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
ij_965be.jpg
Mkazi wa Ubungo jijini Dar es Salaam Paul Muro ambaye ni mmoja kati ya washindi(24)waliojishindia fedha taslimu kiasi cha shilingi 1,000,000 kila mmoja katika Promosheni ya"Timka na Bodaboda"inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,akihesabu kitita chake huku akiwa na bashasha baada ya kujishindia kiasi hicho huku akishuhudiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo,Bw.Matina Nkurlu. Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.

0 comments:

Post a Comment