KIPINDI CHA PILI KIKIWA KINAENDELEA
MASHABIKI WAKIWA WANAFUATILIA MECHI KWA UKARIBU
MBEYA CITY WAKIWA WAMEPATA GOLI LA PILI
MBEYA CITY FC WAKISHANGILIA GOLI LAO LA PILI
MASHABIKI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WANASHANGILIA GOLI LA PILI
KOCHA MKUU WA MBEYA CITY FC BWANA MWAMBUSI WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO AKIFUATILIA MECHI KWA UMAKINI.
MASHABIKI WA SIMBA WAKIWA WAMEPOA BAADA YA M BEYA CITY FC KURUDISHA GOLI
MASHABIKI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WENYE FURAHA
HAPA ILIKUWA NI PATA SHIKA NGUO KUCHANIKA BAADA YA SHABIKI WA SIMBA KUINGIA ENEO LA MASHABIKI WA YANGA.
MPIRA UMEKWISHA
WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA WANATOKA NJE YA UWANJA BAADA YA MPIRA KWISHA
WACHEZAJI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WANATOKA UWANJANI BAADA YA MPIRA KWISHA
MASHABIKI WALIO TOKA MBEYA KUSHANGILIA MBEYA CITY FC WAKIWA NJE YA UWANJA WAKIENDELEA KUSHANGILIA MPIRA.
TUKIO LOTE LIMERUSHWA MOJA KWA MOJA NA TONE MULTIMEDIA GROUP KUPITIA BLOGS ZA MIKOA
WALIO KUWA WANARUSHA MOJA KWA MOJA NI JOSEPH MWAISANGO AMBAYE ALIKUWA
AKIPIGA PICHA ZA MATUKIO YOTE, DOTTO KAHINDI AMBAYE ALIKUWA ANA
HAKIKISHA KILA KITU KINAENDA SAWA NA FREDY ANTHONY AMBAYE ALIKUWA
AKIRUSHA HEWANI MOJA KWA MOJA.
IMEDHAMINIWA NA MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF)
NA MBEYA YETU
0 comments:
Post a Comment