SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, May 28, 2013

Uchukuaji Wa Fomu Kugombea Nafasi Ya Rais Wa ZFA Wapamba Moto Zenji

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchanguzi wa Mdogo wa Chama cha Mpira Zanzibar ZFA, Gulam Abdalla, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na harakati za Uchaguzi Mdogo wa ZFA kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa ZFA ilioachwa wazi na Mwenyekiti wke aliyejiuzulu alikuwa Aman Ibrahim Mkungu, kujiuzulu nafasi hiyi na kuwa wazi katika ZFA, na kutangwazwa nafasi hiyo. 
Jumla ya Wanamichezo 4 wamejitokeza kuwania nafahi hiyo. akiwemwe aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa ZFA katika miaka ya 2000, Ibrahim Raza wengine Abdalla Juma, Rajab Ali Rajabi, na Ravia Idrisa. Usaili wao unategemewa kufanyika katika ukumbi wa VIP Amani na uchaguzi kufanyika mwezi wa juni 8, katika hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
NA OTHMAN MAPARA-ZANZINEWS

0 comments:

Post a Comment