SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, April 25, 2013

Vurugu Zilizotokea Chuo cha Uhasibu Arusha Jana zilizopelekea Jeshi la polisi mkoa wa Arusha kutumia nguvu na mabomu ya machozi kuwatawanya maelfu ya wanafunzi hicho


 Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) wakiwa tayari kukabiliana na wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha, waliokusanyika wakilalamikia kuuawa kwa mwenzao juzi usiku.
Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Mh.Godbless Lema akihutubia wanafunzi waliokusanyika eneo la "freedom square" chuoni hapo.
 Mwili wa Marehemu mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo cha Uhasibu Arusha Henry Kago (22)
Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Mh Godbless Lema  Akisindikizwa na Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arushamuda mfupi baada ya kuwasihi watulie na wasilete fujo kitu ambacho walimsikiliza
Polisi wakichukua gari ya mbunge wa jimbo la Arusha Mjini-Chadema Mh Godbless Lema.
Picha na Musa Juma
****
Vurugu kubwa za wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu zilizuka jana baada ya kuuawa kwa mwanafunzi Henry Kago (22), juzi usiku.
Kago, ambaye alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili, anadaiwa kuwa alifariki juzi saa nne usiku baada ya kuchomwa kisu na watu wasiojulikana, akiwa njiani eneo la Kanisa la Wasabato akitokea chuoni hapo kujisomea.Kwa habari zaidi 

0 comments:

Post a Comment